#free_the_youth

1 posts
 • pj_animation 10w

  Kukua youth ishskua a crime
  Ni a guaranteed jail sentence
  Na kupatwa past curfew, death sentence
  Kwa vitabu za utumishi kwa wote
  Youth ni equivalent to murder
  Paint kwa streets zimejaa red
  Streams zinaflow blood

  The murder charge
  Injustice imekua in-justice
  Wakituambia sisi ndio viongozi wa kesho
  I guess our future tumeiacha in the past
  Na kuona tunaishi kwa the past-present

  Wakisema education is the key
  Lakini locks za mlango zimebadilishwa
  Ndo maana youth wameziweka kwa kichwa
  Juu tuliambiwa akili ni nywele

  Kutembea kwa street ni jail term
  Kwa sababu in my country land mimi ni refugee
  ©pj_animation